Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Mkuu na uwanja wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora una ngazi zinazozunguka uwanja wote.Hata hivyo nafasi bado ndogo sana, labda maboresho ya katika ya uwanja tu ila sehemu ya washangiliaji inabaki kiduchu maana kwa mfano viwanja kama CCM Kirumba, Shkh Amri Abeid, Samora(Iringa) vipo mjini kati halafu sehemu ni ndogo endapo upanuzi ukihitajika
Idea nzuri sana hiiHahaaaaaa. Ila kwa AFCON tunaweza kuiandaa sisi Tanzania.
Uwanja wa Mkapa na ule wa zamani (Dar es Salaam), Mwinyi (Tabora), Sheikh Amri Abeid (Arusha), Amani (Zanzibar), Nyamagana (Mwanza). Vikiboreshwa mbona tunaiandaa vizuuri.
Nakumbuka uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa billion 57, Leo hii Serikali ikiamua kutia bilion 100 kwenye kuboresha hivi viwanja naamini inawezekana, Ni malengo tu.
Changia na wewe basi kijanaIdea nzuri sana hii
Sahihi kabisaMkuu na uwanja wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora una ngazi zinazozunguka uwanja wote.
Umesema kweliHahaaaaaa. Ila kwa AFCON tunaweza kuiandaa sisi Tanzania.
Uwanja wa Mkapa na ule wa zamani (Dar es Salaam), Mwinyi (Tabora), Sheikh Amri Abeid (Arusha), Amani (Zanzibar), Nyamagana (Mwanza). Vikiboreshwa mbona tunaiandaa vizuuri.
Nakumbuka uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa billion 57, Leo hii Serikali ikiamua kutia bilion 100 kwenye kuboresha hivi viwanja naamini inawezekana, Ni malengo tu.
Acha unaa. Hakuna baharia humu weweSawa baharia wangu
Punguza ushambaTofauti zao ni zipi?
Asante kwa kunisaidia kumuelimisha huyo muungwanauwanja wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora una ngazi zinazozunguka uwanja wote.
Hahahahaaa chizi kweli wee jamaaIringa hapana kwa sababu wahehe wanakula sana madogi?
Hii miji tukiwa na utashi tunajenga viwanja vya kisasa.Viwanja vilivyopo vinakosa vigezo vya kuwashawishi viongozi wenye kuidhinisha mashindano kufanyika kwa kutumia aina ya viwanja vya Mwanza,Arusha na Dodoma.Mkuu wazo lako ni zuri sana.
Hapa jambo la kwanza ni kujikita ktk hali ya viwanja; kwa mkapa hamna shida lakini Dodoma,Arusha na Mwanza kunahitajika uboreshaji wa viwanja ktk hadhi ya kimataifa.
Hii miji ktk ku-accomodate matukio ya kimataifa inakidhi vigezo.
Absolutely! Inawezekana kwa uzuri tu hata 2024. Ukiangalia World Cup 2026 ni Kanada, Marekani na Mexico though Gianni Infartino alifanya uongo na dhulma tofauti na aliyoyasema wakati akiomba kura, by the way!Ikiwezekana iwe Tanzania, Kenya na Uganda.
Ndio maana nikasema kunahitajika uboreshaji mkuu.Hii miji tukiwa na utashi tunajenga viwanja vya kisasa.Viwanja vilivyopo vinakosa vigezo vya kuwashawishi viongozi wenye kuidhinisha mashindano kufanyika kwa kutumia aina ya viwanja vya Mwanza,Arusha na Dodoma.
Yes mkuu. Maboresho yanahitajika huko Mwanza, Arusha na DodomaNdio maana nikasema kunahitajika uboreshaji mkuu.
Penye nia pana njiaYes mkuu. Maboresho yanahitajika huko Mwanza, Arusha na Dodoma
Penye njia napo pana miba mingiPenye nia pana njia
Chukua panga, kata miba kisha pita kijana punguza uoga wa maishaPenye njia napo pana miba mingi
Hivi unaijua miba bamba ilivyo mkuu?Chukua panga, kata miba kisha pita kijana punguza uoga wa maisha
Sio miba peke yake, hata tope linaweza kuwa kikwazo. Bora kupambana tu bila kukata tamaaPenye njia napo pana miba mingi
Lakini sio njia ya mkatoPenye nia pana njia