Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Mkuu na uwanja wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora una ngazi zinazozunguka uwanja wote.Hata hivyo nafasi bado ndogo sana, labda maboresho ya katika ya uwanja tu ila sehemu ya washangiliaji inabaki kiduchu maana kwa mfano viwanja kama CCM Kirumba, Shkh Amri Abeid, Samora(Iringa) vipo mjini kati halafu sehemu ni ndogo endapo upanuzi ukihitajika