2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

Hata hivyo nafasi bado ndogo sana, labda maboresho ya katika ya uwanja tu ila sehemu ya washangiliaji inabaki kiduchu maana kwa mfano viwanja kama CCM Kirumba, Shkh Amri Abeid, Samora(Iringa) vipo mjini kati halafu sehemu ni ndogo endapo upanuzi ukihitajika
Mkuu na uwanja wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora una ngazi zinazozunguka uwanja wote.
 
Hahaaaaaa. Ila kwa AFCON tunaweza kuiandaa sisi Tanzania.
Uwanja wa Mkapa na ule wa zamani (Dar es Salaam), Mwinyi (Tabora), Sheikh Amri Abeid (Arusha), Amani (Zanzibar), Nyamagana (Mwanza). Vikiboreshwa mbona tunaiandaa vizuuri.
Nakumbuka uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa billion 57, Leo hii Serikali ikiamua kutia bilion 100 kwenye kuboresha hivi viwanja naamini inawezekana, Ni malengo tu.
Idea nzuri sana hii
 
Umesema kweli
 
Mkuu wazo lako ni zuri sana.

Hapa jambo la kwanza ni kujikita ktk hali ya viwanja; kwa mkapa hamna shida lakini Dodoma,Arusha na Mwanza kunahitajika uboreshaji wa viwanja ktk hadhi ya kimataifa.

Hii miji ktk ku-accomodate matukio ya kimataifa inakidhi vigezo.
Hii miji tukiwa na utashi tunajenga viwanja vya kisasa.Viwanja vilivyopo vinakosa vigezo vya kuwashawishi viongozi wenye kuidhinisha mashindano kufanyika kwa kutumia aina ya viwanja vya Mwanza,Arusha na Dodoma.
 
Ikiwezekana iwe Tanzania, Kenya na Uganda.
Absolutely! Inawezekana kwa uzuri tu hata 2024. Ukiangalia World Cup 2026 ni Kanada, Marekani na Mexico though Gianni Infartino alifanya uongo na dhulma tofauti na aliyoyasema wakati akiomba kura, by the way!

Tanzania, Kenya na Uganda ziungane kuandaa AFCON ijayo kila taifa liteuwe miji minne viwanja vinne kuweza kunufaika.
 
Tunapotenga tenga gharama za ukarabati sisi (mimi, wewe na viongozi wetu) kama serikali tunajumuisha gharama za upanuzi wa maeneo. Refer barabara, bomba la gesi la na mafuta na viwanja vya ndege.

Tukitenga billioni 100 tunaweza kukarabati kiwanja kila mkoa na kuwa na hadhi ya kimataifa na kimchezo kwa kugawa billioni 3 huku tukiziomba halmashauri kuchangia asilimia 15 ya mapato yake katika utekelezaji huo.

Faida ni nyingi sana baada ya maboresho haya kufanyika.
 
Back
Top Bottom