Mulangira.Mitihani ya zamani ilikuwa mirahisi Sana , sema hamkusoma katika mazingira sahihi. Na Bora.
Yaani Watz bado Sana unapima ubora wa Elimu kwa watu kufeli Sana ?
Unashindwa kuelewa teknolojia imekuwa Sana Muda huu ili kujua vitu vingi sio lazima kukaa darasani au haujiui? Watu mmesoma kwa Viboko so niujinga .kuamini Nyie mpo Bora na wenzenu sio Bora.
Sasa mtu anasoma hata hajui syllabus inamtaka asome nini hata mwalimu wa zamani alikuwa hajui afundishe kwa kufuata muongozo upi Sasa utapataje oneMitihani ya zamani ilikuwa mirahisi Sana , sema hamkusoma katika mazingira sahihi. Na Bora.
Yaani Watz bado Sana unapima ubora wa Elimu kwa watu kufeli Sana ?
Unashindwa kuelewa teknolojia imekuwa Sana Muda huu ili kujua vitu vingi sio lazima kukaa darasani au haujiui? Watu mmesoma kwa Viboko so niujinga .kuamini Nyie mpo Bora na wenzenu sio Bora.
Hata zamani mitihani ilikuwa rahisi sana sema mlikuwa wengi vilaza na mnasoma kwenye mazingira magumu sana imagine miaka Hiyo mtu anafeli kupata wastani wa 30 ili kivuka form twoMiaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O Lev au one ya 3 advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa.
Maisha siku hizi yamebadilika hata hata ukipata one ya single digit (7-9) kwa O Lev au 3-5 kwa advance hakuna atakayeshangaa maana ni kawaida sana na utakuta darasani kwenu wenye hizo one mpo zaidi ya 30.
Siku hizi watu watakushangaa Ukikosa one utaonekana kiazi ajabu ,ukipata division 2 hata ya 10 unaonekana umefeli.
Elimu ilikuwa zamani siku hizi kanya boya tu.
Upo sahihiHata zamani mitihani ilikuwa rahisi sana sema mlikuwa wengi vilaza na mnasoma kwenye mazingira magumu sana imagine miaka Hiyo mtu anafeli kupata wastani wa 30 ili kivuka form two
We je unaweza kunywa na kumentionMtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.
Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
blud I’m an engineerWe je unaweza kunywa na kumention
Mkuu nimekuambatanishia mitihani ya mwaka Jana format mpya na mwaka 2013 nimeweka Pepa zake!!!!Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.
Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
Hiyo mitihani ya 2013 haipo kwenye review au haionekani??Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.
Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
Zamani Elimu ilikuwa inaonekana ndio njia pekee ya ku earn life na heshima Sasa mambo imebadilika ,njia kubwa ya Sasa ni biashara uwe na mtonyo au cheo ndio ndio utakuwa na heshima.Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O Lev au one ya 3 advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa.
Maisha siku hizi yamebadilika hata hata ukipata one ya single digit (7-9) kwa O Lev au 3-5 kwa advance hakuna atakayeshangaa maana ni kawaida sana na utakuta darasani kwenu wenye hizo one mpo zaidi ya 30.
Siku hizi watu watakushangaa Ukikosa one utaonekana kiazi ajabu ,ukipata division 2 hata ya 10 unaonekana umefeli.
Elimu ilikuwa zamani siku hizi kanya boya tu.
Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.
Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
99% hawawezi kuelewa hapa, sijui shida ni IQWakija chuo kikuu ndio tunajua kuwa yale matokeo ni maamuzi ya watu kadhaa tu,wala sio reflection ya uelewa wa wanafunzi!
Taifa liko pabaya sana kuliko wakati wowote kielimu!
Kinyume chake,tuendelee kujidanganya hapa kuwa usomaji na urahisi wa usomaji umeboreka sababu ya teknolojia.
Hivi useme toka ile mass failure ya 2013,mwaka ambao mimi naamini ndio wa mwisho kuwa na matokeo halali ya kidato cha 6,eti 2014 na kuendelea tayari mazingira yako vizuri na watu wanafaulu hadi leo?,hivyo tu kweli?,tuwe serious kidogo basi!
Hahaa acha vichekesho hivi unajua passmark za sasa za mtihani wa form two ?,ni D mbili au C moja na bado wanafeli hivi wangerudisha ule wastani wa 30 wangapi wangefaulu?,mitihani ile ya zamani ilikua kigongo na yenye terminologies tata ila sku izi mteremkoHata zamani mitihani ilikuwa rahisi sana sema mlikuwa wengi vilaza na mnasoma kwenye mazingira magumu sana imagine miaka Hiyo mtu anafeli kupata wastani wa 30 ili kivuka form two
Hayuko sahihi sku iz serikali imepunguza passmark za form two kutoka wastani wa 30 na kua D mbili au C mojaUpo sahihi