Wakija chuo kikuu ndio tunajua kuwa yale matokeo ni maamuzi ya watu kadhaa tu,wala sio reflection ya uelewa wa wanafunzi!
Taifa liko pabaya sana kuliko wakati wowote kielimu!
Kinyume chake,tuendelee kujidanganya hapa kuwa usomaji na urahisi wa usomaji umeboreka sababu ya teknolojia.
Hivi useme toka ile mass failure ya 2013,mwaka ambao mimi naamini ndio wa mwisho kuwa na matokeo halali ya kidato cha 6,eti 2014 na kuendelea tayari mazingira yako vizuri na watu wanafaulu hadi leo?,hivyo tu kweli?,tuwe serious kidogo basi!