2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

S.A kipindi cha pili waje na mbinu hizihizi wakibadirika tu wameumia.

Matuta yatakuwa na faida kwa upande wa S.A kuliko mpaharao
 
S.A kipindi cha pili waje na mbinu hizihizi wakibadirika tu wameumia.

Matuta yatakuwa na faida kwa upande wa S.A kuliko mpaharao
Hahaha mbinu hii watafungwa kwakuwa mpinzani wao lazima akajiulize amekwama wapi.
Ila Bonge la match kwakweli.
Mapharao ili wasikusogelee dawa ni kuwashambulia sana tu kama anavyofanya msouth
 
Hahaha mbinu hii watafungwa kwakuwa mpinzani wao lazima akajiulize amekwama wapi.
Ila Bonge la match kwakweli.
Mapharao ili wasikusogelee dawa ni kuwashambulia sana tu kama anavyofanya msouth
Sasa ngoja wabadirike uone goli 2+ zitakavyokuwa zakufikia tu.

Waendelee kucheza kama Benin tu wajishushe wawaache wachezee mpira watakavyo
 
Nimependa saana hii mechi.

Ukitoa mechi ya Senegal na Algeria hii ndiyo mechi ngumu kwa AFCON.

Nadhani wengi nikiwepo mimi hatukutarajia RSA kucheza hivi.....

Maoni binafsi.
 
Leo naona wamekosa mbeleko wanalalama tu hawa ndugu zetu weupe.
 
Hii ni dakika 67 lakini hali ni tete sana , South Africa ile uliyoidhania leo imebadilika kabisa ! ni Hatari fire ! Uwanja wao , Mashabiki wao lakini cha moto wanakiona .

Tuendelee kuangalia game hii tuone mwisho wake
..........................................

Dk 90 zimeisha , Egypt 0 - 1 Bafana Bafana
 
Mno japo naona kama wameanza kujisahau
Hapana hawa wanaume wamepigana saana..mechi zao za mwanzo walikuwa wanatania....

Kupigana wamepigana...unaona hadi wamisri wamenywea licha ya kujaa uwanjani.

Salah hafurukuti kwa huyo Mzulu.
 
Yaani South leo kachana mikeka ya watu,mimi mwenyewe sikutegemea angeupiga mwingi kama huu kwani bila uhodari wa kipa wa Misri wangekuwa tayari wanaongoza.
 
Yaani South leo kachana mikeka ya watu,mimi mwenyewe sikutegemea angeupiga mwingi kama huu kwani bila uhodari wa kipa wa Misri wangekuwa tayari wanaongoza.
Asee leo Msouth kaupiga..hata akifungwa mimi zangu tatu kashazipata.

Sijui alikiwa wapi siku zote.
 
Back
Top Bottom