Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huku inawezekana pia ka Benin kakashangaza ulimwengu hahahaha ila wana kadi nyingi mno bahati mbaya hii kwaoBest loser Euro 2016 alishinda ubingwa.
Hahaha mbinu hii watafungwa kwakuwa mpinzani wao lazima akajiulize amekwama wapi.S.A kipindi cha pili waje na mbinu hizihizi wakibadirika tu wameumia.
Matuta yatakuwa na faida kwa upande wa S.A kuliko mpaharao
Sasa ngoja wabadirike uone goli 2+ zitakavyokuwa zakufikia tu.Hahaha mbinu hii watafungwa kwakuwa mpinzani wao lazima akajiulize amekwama wapi.
Ila Bonge la match kwakweli.
Mapharao ili wasikusogelee dawa ni kuwashambulia sana tu kama anavyofanya msouth
Mbwe mbwe nyingiS.A kuna wachezaji wana nidhamu wamechomekea muda wote
Lakini ndio sheria za FIFA zinawataka wachezaji kuchomekea japo haitiliwi maananiMbwe mbwe nyingi
Mno japo naona kama wameanza kujisahauIla Msouth kajitahidi saana.....
Hapana hawa wanaume wamepigana saana..mechi zao za mwanzo walikuwa wanatania....Mno japo naona kama wameanza kujisahau
Kingine nilichofurahi wamekuwa wapole hawabebwi leo.Mno japo naona kama wameanza kujisahau
Asee leo Msouth kaupiga..hata akifungwa mimi zangu tatu kashazipata.Yaani South leo kachana mikeka ya watu,mimi mwenyewe sikutegemea angeupiga mwingi kama huu kwani bila uhodari wa kipa wa Misri wangekuwa tayari wanaongoza.