Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,609
Najaribu muda si mrefu nitakuwa senior 😂😂Ulisema robo final,wametolewa second round. Bado bado sana kufikia hata theluthi ya shehe Yahya. Mjukuu wangu njoo nikufundishe kutabiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu muda si mrefu nitakuwa senior 😂😂Ulisema robo final,wametolewa second round. Bado bado sana kufikia hata theluthi ya shehe Yahya. Mjukuu wangu njoo nikufundishe kutabiri.
Umetokea wapi?Morocco pia hagusi ata nusu
DRC anatokaMpaka sasa best loser wawili washapita robo na si ajabu Congo naye akavuka japo mpira unadunda.
South Africa na Benin.
19:00hrs ndio itakuwa muamuzi kwani mpira unadunda.DRC anatoka
Mpira siku hizi haudundi una accelerate, nitakukumbusha DRC hana chake19:00hrs ndio itakuwa muamuzi kwani mpira unadunda.
Eti eee. Haya uletage Updates kesho alfajiri ntazikuta.Mpira siku hizi haudundi una accelerate, nitakukumbusha DRC hana chake
Mimi naweka lakini mzigo wa maneno tu. 😀😀😀Write your reply...
tusibishane saaana hii mechi ya congo anatoka mapema tu
tuweke mzigo hapa
MuoneHivi mmegundua mshindi wa kwanza na mshindi wa pili wa AFCON 2017.Wote wametolewa leo. Hahhhahahahha nina Raha Salah kutolewa. Hasa mimi mshabiki wa Man united.
Sawa kabisa , timu nzuri hujua kutengeneza chances na kuzitumiaMpira sio majina
Mpira ni combination
Mpira ni science
Mpira ni mistakes
Mpira ni chances
Baadae nitakuja kukote tena hii message yako.DRC anatoka
Hii Algeria ina mwonekano wa ubingwa ila tusubiri tuone maana mpira unadunda.Write your reply...
pia algeria anapita!
hii ni lazima..
kweli mkuu jamaa wana muonekano wa kibingwa.Hii Algeria ina mwonekano wa ubingwa ila tusubiri tuone maana mpira unadunda.
Mpaka sasa best loser wawili washapita robo na si ajabu Congo naye akavuka japo mpira unadunda.
South Africa na Benin.