Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Wenye akili hujiiliza kama baada ya uchaguzi ujao watakuwa bora kuliko sasa. Japo sijui nani atapata wabunge wangapi, najiuliza wabunge wa upinzani wamezuia jambo gani kufanyika na wakafanikiwa na wakiondoka jambo hilo litafanikiwa!!
 
Kazi ipi anafanya zaidi ya kuwa shiwaladu na kudukua simu za mawaziri wake,wewe lazima una mwili na akili kama lemutuz
 
Mmmmu.. ACT 14% CHADEMA 25% CCM 61% Tatizo UKAWA aupo Tena.
 
Hizi kauli zinarudiwa sana, kwa nn msiwaachie wananchi wakaamua wenyewe? Maana mmezuia wapinzani wote kufanya mikutano mmebaki wenyewe tu kufanya mikutano.wakifanya wapinzani mnawaitia polis. Demokrasia Ni kuruhusu wanasiasa wajitangaze kwa umma mwisho wa Siku umma utaamua.
 
Reactions: BAK
Kwanini ishindikane wakati wananchi wanamkubali JPM kwa 100%
Labda wasukuma wa Chato, uchaguzi ukifanyika kihalali huyo mgombea wenu atashindwa mapema sana, hakubaliki kwa vijana, wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara labda wakoromije wa Chato.
 
Reactions: BAK
endelea kujipa moyo
 
Reactions: BAK
Mamaake ndo amepost hapa? jaribu kuwa na staha basi hata kidogo
UKIFANYA UPUMBAVU FLANI HAPA DUNIANI LAANA ITAKULA HADI KIZAZI CHAKO CHA TATU, KAMA NI HIVYO KWANI HAO WATOTO NA WAJUKUU WALIHUSIKA KWENYE UHALIFU? UKIZAA MTOTO MSTAARABU UTAPATA SIFA NA UKIZAA CHIZI KAMA MLETA UZI MATUSI NI SAHEMU YA ZAWADI ANAZO STAHILI IKIWEMO KUSOMWA JICHO,
 
Mkuu Huko Kwenu Vipi, kwanza naunga mkono hoja, pili angalau wewe hili ndio leo unaliona,
Angalia tarehe ya mabandiko haya uangalie sie wenzio tuliona lini na tukasema humu. Wenzetu wengi japo kwa sasa wanakubeza hapa, lakini hili ni ukweli mtupu na ukweli halisi ambao wao watauona baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020!.

Mnaombeza mtoa mada endeleeni tuu kubeza ila ukweli wa matokeo ndio utawafungua macho.
P
 
Reactions: prs
Ndo umetumwa kupima upepo au sio?
 
Au revoir
 
Mleta Uzi sasa hata ikitokea hivyo kwa ujinga na uzuzuzu wako unaona in sawa? Watu kama nyie in was kuhurumia.
 
Dawaamulhaal minalmuhaal
 
Naamini hivyo 100%
 
Ndugu Pascal, ninakygeshimu sana na posti zako hazinipiti, lakini sasa unaanza kujivunjia heshima na msimamo.

Ndugu kupata nyadhifa kwa kujikomba ama kuwa A LAP DOG wa mwanasiasa ni kujidhalilisha na utaharibu maisha yako.

Ili hilo litokea wabunge wote wawe wa chama chetu, inamaanisha tutaiba kura kwa nguvu yote tena bila haya wala kupepesa macho.

Kuna juhudi nyingi za Raisi zinaungika mkono lakini nyengine haziungiki. Jee do we have the true results of these projects ama ni mijisifa ya kujisifu wenyewe.

Serekali yetu pia imeanza kuja na siasa za ubaguzi wa kidini, ukanda na Nepotism.

Tuwache kujisifia na uwizi tutakao ufanya na mabavu tutakayo tumia kuiba ushindi wa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…