Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Lakini tukumbuke ukomo wake 2025 watakuja watawala wengine
 
Tatizo linakuja who is mpinzan?
 
Inawezekana kweli kusiwepo na upinzani lakini upinzani usipo kuwepo jiandae kisaikolojia...maana yake kila kitu kitakacho amriwa kitapita bila kupingwa. Jaribu kuhesabu hasara za kuto kuwepo kwa upinzani
 
Tatizo linakuja who is mpinzan?
Wapinzani waoga na ndio kete wanayotumia CCM,mapinduzi kazi ngumu lazima ujitoe,awamu hii haihitaji mtu wa bla bla ,awamu hii inahitaji upinzanzi Konki ,upinzani wa field yaani ng'wadu kwa ng'wadu kaaa chini sikaiii ,sogeaa sisogei,nitakuua niueee,nitakupasua nipasueee ndio awamu hii inataka,wapinzani wakifanya siasa za twita,fesibuku watuala wa chuya.
 
Mimi so mfuasi sana WA mambo ya jukwaa hili LA siasa,ila najiuliza,
Hivi Kweli tumefikia kufurahia upinzani kupotea? Tusichanganye ushabiki na ukweli,
Kweli hatujui au hatuoni faida za upinzani?
Nyie mnaofurahia upinzani kupotea mnajua madhara yake?
Hivi nyie najua ni wasomi,ila naona mmesoma halafu hamjafahamu,maana unaweza ukasoma halafu usifahamu.
Naona mnaoshangilia upinzani kupotea mmesoma ila hamjafahamu,Sikh mkifahamu mtabadilisha kauli.
 
Cha msingi tupiganie katiba mpya ata tukisusia uchaguzi ujao bado itatengenezwa ccm b ili mataifa ya magharibi waone bado kuna democrasia ya vyama vingi
 
Cha msingi tupiganie katiba mpya ata tukisusia uchaguzi ujao bado itatengenezwa ccm b ili mataifa ya magharibi waone bado kuna democrasia ya vyama vingi
Kwa sasa hayo yote hayatosaidia ,siasa za sasa zinahitaji jino kwa jino mbwai mbwai ng'adu kwa ng'adu.
 
Kinachoendelea sasa HV,ni ujambazi na ubakwaji wa demokrasia,
Demokrasia ya vyama Vinci,ni mfumo wa gharama kubwa sana,ni bora tuufute,hila hawa wanaotaka kuufuta,sio wasafi,hawaufuti mfumo,ili nchi ineemeke,wao wanaufuta ili wafaidike wao binafsi,
Haya anayofanya Maghu,angekuwa anayafanya Mzee Salim Ahmed Salim,au Warioba,nchi ingekuwa poa,
Lakini yanayofsnywa na Mkulu,pamoja na huyu wa Dar,ni utumbo mtupu
 
Cha msingi tupiganie katiba mpya ata tukisusia uchaguzi ujao bado itatengenezwa ccm b ili mataifa ya magharibi waone bado kuna democrasia ya vyama vingi

..vyama vya siasa ni wadau muhimu ktk kupigania katiba mpya na bora.

..sasa bila kuwepo na demokrasia ya vyama vingi, na uhuru wa kukusanyika na kutoa maoni, safari ya kupata katiba mpya na bora inaweza kuwa ndefu na ngumu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…