Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #3,521
Ndio plan yao hiyo toka robo fainal na ime-work outNaona Egypt wanamtegemea Salah pekee mbele
Wao wanahakikisha kwanza hupati goli, kisha wanakupiga counter attackNaona Egypt wanamtegemea Salah pekee mbele
Umeandika neno moja la msingi sana "sayansi ya matokeo"Wasidhanie hawa ni Bukinafaso. Mafarao wana sayansi ya matokeo
Salah mwenyewe kawekewa watu wakutembea nae!Naona Egypt wanamtegemea Salah pekee mbele
Wanangu wasibweteke kama nduguu zao Cameroon kipind cha pili walitepetaHT' 0-0
Wakaze wakaze tusiingie matuta tutalima viaziAh hawa senegal naona dalili sio nzuri...
Hawa pona yao washinde hii game within 90 minutesWakaze wakaze tusiingie matuta tutalima viazi
Hapo hapo namuona Mane kaja kumwambia golikipa hoya nenda golini kadake huyo anakupotosha shauri yako..Mo Salah: Sikiliza Gabaski, huyu Mane nacheza nae Liverpool namjua vizuri anapiga kulia kwako, usituangushe bro!!
Gabaski: Imeisha hiyo
View attachment 2110659
Mtoto hapo kifuan amenikosha kwel