2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Mo Salah: Sikiliza Gabaski, huyu Mane nacheza nae Liverpool namjua vizuri anapiga kulia kwako, usituangushe bro!!

Gabaski: Imeisha hiyo

D76E3EBE-81CE-4902-A277-231D1559652C.jpeg
 
Mane kaaonyesha maana halisi ya africa ...hii inanikumbusha 2010 ..Asamoah gian alikua na nafas ya kutuvusha kwenda hatua ya nusu fainali WC ila matokeo yake akakosa penat
 
Back
Top Bottom