Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Hao Nuggets bure kabisa...clean sweep ni aibu kwenye playoffs, heri hao Phoenix wangekutana na Potrland Trail Blazers. Naamini Phoenix Suns hawawezi kufua dafu kwa UTA Jazz au LA Clippers. Tusubiri tuone, michezo ya mwaka huu haitabiriki kirahisi.
Usi wa underrate Suns, season hii wako bora sana, walivyowatoa Lakers watu wakasingizia LJ hakuwa fit na wakasema jamaa hawatoboi kwa Nuggets lakini kilichotokea ni aibu tupu. Usije kushangaa hii ndoo wanabeba, halafu Jazz hawana maajabu maana wameshakarishwa mara 3 na Suns