2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

Hao Nuggets bure kabisa...clean sweep ni aibu kwenye playoffs, heri hao Phoenix wangekutana na Potrland Trail Blazers. Naamini Phoenix Suns hawawezi kufua dafu kwa UTA Jazz au LA Clippers. Tusubiri tuone, michezo ya mwaka huu haitabiriki kirahisi.

Usi wa underrate Suns, season hii wako bora sana, walivyowatoa Lakers watu wakasingizia LJ hakuwa fit na wakasema jamaa hawatoboi kwa Nuggets lakini kilichotokea ni aibu tupu. Usije kushangaa hii ndoo wanabeba, halafu Jazz hawana maajabu maana wameshakarishwa mara 3 na Suns
 
Sio kwamba ninawa-underrate Suns ila West zilikuwepo timu tatu ambazo kwa kweli wali-fluke tu kuingia playoffs nazo ni Nuggets, Mavericks na Grizzlies. Zilizobaki zina uzoefu wa kutosha na sahau regular season, michezo ya playoffs ni habari nyingine kabisa. Suns nakuambia wanatolewa semifinal za West and you can take that to the bank.

Je umeona 76ers walivyotolewa jasho na Atlanta Hawks? Mpaka mwisho wa mchezo Hawks 103, 76ers 100 nq sasa series tied 2-2! Dakika hii tunashuhudia UTA Jazz wakiadhibiwa na LA Clippers na hadi mapumziko Clippers wako mbele 68-44!
 
Quarter ya mwisho sasa inaanza Clippers wakiongoza 98-75 tofauti ya point 23!

Update:
Mechi kwisha na LA Clippers wanatoka uwanjani kifua mbele kwa kushinda 118-104 na sasa series ni 2-2!

Msimamo mpaka sasa...

1623733507165.png

Mpaka sasa ni Phoenix SUNS tu waliofanikiwa kuingia Conference finals za kanda kwa kuwatoa Denver Nuggets
4-0!
 
Sio kwamba ninawa-underrate Suns ila West zilikuwepo timu tatu ambazo kwa kweli wali-fluke tu kuingia playoffs nazo ni Nuggets, Mavericks na Grizzlies. Zilizobaki zina uzoefu wa kutosha na sahau regular season, michezo ya playoffs ni habari nyingine kabisa. Suns nakuambia wanatolewa semifinal za West and you can take that to the bank.

Je umeona 76ers walivyotolewa jasho na Atlanta Hawks? Mpaka mwisho wa mchezo Hawks 103, 76ers 100 nq sasa series tied 2-2! Dakika hii tunashuhudia UTA Jazz wakiadhibiwa na LA Clippers na hadi mapumziko Clippers wako mbele 68-44!

Wacha nihifadhi hii comment yako then nitakurudia. Amini Suns watashangaza watu. Everyone is taking them for granted lakini mwisho wake majibu tutakuwa nayo.
 
LeBron changed his jersey's number from 23 now his jersey read 6
 
I got new NBA team to celebrate life with... Sun is f*ck unbelievable
 
Brooklyn fought so hard to steal this game from the Bucks. What a performance by KD!!!
 
Yeah! KD just exploded...it is never over till it's over!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Without any doubt Mkuu, hopefully Kyrie will be available in game six.

If Kyrie is available am sure that will be the end of the road for Milwaukee. James Harden was a flop tonight!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
I think so too Mkuu but they need Madevu to perform too.
If Kyrie is available am sure that will be the end of the road for Milwaukee. James Harden was a flop tonight!
 
Brooklyn fought so hard to steal this game from the Bucks. What a performance by KD!!!
KD's rate right now is pretty much higher,.. He did the best to earn his team a win
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom