2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

Kuna wachaga wengi sana hawajatairiwa, tena kwa karne hii, wengi wanatairiwa ukubwani. Haya mambo zamani niliyaona Iringa na Songea, lakini kumbe uchagani ni kawaida. Kabila linaloijiita limestarabika, vijana wake uku wanatembea na mikono ya sweta, mmoja katoka Hai kaja hapa mtaani kutailiwa, ana miaka 28.
 
😂😂😂😂😂😂
 
Hahahahaha hakika ni watu kazi!

Asili ya msukuma ni kazi, mpunga unaovunwa ifakara asilimia kubwa ni wasukuma, madibira, lujewa, wasukuma wanapiga mpunga tu, mpanda huko majimoto ni wasukuma tu nenda namanyere ni wasukuma tu yaani kwa kazi msukuma anajitahidi sana,
 
Hao wakinga mbona walotoboa wachache sana na biashara zao ni mbao na mitumba tu wengi hawapo katika level za kumiliki makampuni kama walivyo wahaya wachaga na wahindi biashara za magenge ndo mnasema watu wametoboa

[emoji2960][emoji38]
 
Nitazidi kukuona mpumbavu ukiendelea kudharau elimu.....

Hebu niache kubishana....
 
Top ten matajili Tanzania alikuepo Ally Mafuruki wa Infotex na Mengi, sasa wote ni marehem, hakiwa mengi peke yake.
Achana naye huyo...ana uchaga mwingi sana...

Mtu anaedharau elimu na matunda yake sio mtu wa kumsikiliza...
 
Hiv unataka wahaya waanze kufanya biashara za kutoa kafara na kutambika kama wanavyofanya hayo makabila mengi uliyoyataja hapo juu?

Hiv unaweza linganisha business startups za wenye elimu na exposure na wasio nayo wale walioishia la saba na kubebwa na kutoa makafara...hayo ndo mafanikio sio?kuwa na hela iliyotokana na kudhulumu watu, wizi serikalini, utapeli kama ule wa kariakoo, uchawi na shortcut kibao sio mafanikio hayo...na wahaya hawako hivyo...

Tazama biashara na makampuni ya wahaya ( wenye elimu zao)
INFOTECH ( mfuruki)
Kairuki ( ukoo wa kihaya wa kairuki unaomiliki mahospital, vyuo na viwanda)
(Engineering companies) ABEMULO, LUGANUZA, BYERA, DOTI nk
Tazama mashule ya wahaya ( St mark, st antony, st marys, Tusiime, Babro jonson, kemebos, st anne maria na nyingine nyingi zilizojaa Mwanza na Bukoba)
IPTL
Huu ni mfano tu..

Ukiangalia biashara hizi ziko very clean na zinafaidisha jamii nzima na huu ndo uwekezaji wa mtu mwenye elimu...

Huwezi linganisha na biashara za kichuuzi zilizojaa udhurumaji wanazofanya hao wachaga na wakinga
 
Mengi Tajiri pekee?

Hiv yule muhaya Ally mfuruki hukuwahi kumuona kwenye ile list?

To much chaggaism
 
Nitazidi kukuona mpumbavu ukiendelea kudharau elimu.....

Hebu niache kubishana....View attachment 2401358

rudi shuleni, inaonekana hujui chochote juhusu pato la taifa (GDP), kwa akili zako ukadhani gdp ni kodi zinazokusanywa tu au sio ??

umekazania elimu wakati elimu ya kawaida tu inakupiga chenga, shame !!

nend tuition ya karibu umtafute mwalimu akuelekeze national income, ntalipia 😂
 
Kumbe Takwimu zako unazitoa kwa zitto kabwe???
 
Umeongea pumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole
 
Kumbe Takwimu zako unazitoa kwa zitto kabwe???
ni mchumi msomi anaejua kkufanyia research ya mambo ya national economy kwa msaada wa reliable sources kama national bureau of statistics...

i hope umeenda kupewa formula ya pato la taifa, siku nyingine usiwe unakurupuka kudhani kodi zinazokusanywa pekee ndio zinachangia national income
 
Mimi wahaya nawafahamu vzr...biashara wapo baadhi wanafanya na wengine wana makampuni makubwa tu....

Wengi biashara hasa hiz za uchuuzi hawafanyi kwa sababu zimejaa wizi, rushwa, utapeli na ukwepaji kodi....wahaya huwa wako royal sana..wanavalue sana furaha ya moyo kuliko wingi wa hela but no real furaha kama wachaga walivyo...wachaga wanapesa nyingi tu wengi lakin hawana furaha kabisa...na wanajificha katika kufanya kazi sana...hio yote wanajua hela hizo walipozitoa...

Ukifanya analysis vzr wachaga hutamani sana na kuwa karibu sana na wahaya ( unaosema wanakumbatia elimu)...kwa sababu ni watu ambao hata ukimkuta tajiri muhaya utakuta utajiri wake ni halali mno..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada wkt anaanza alitahadharisha kuwa yeye sio miongoni mwa hayo makabila

Lkn utetezi wake unaonesha yeye ni wakabila hilo aliloanza nalo

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upite.[emoji3061]
 
Mtoa mada wkt anaanza alitahadharisha kuwa yeye sio miongoni mwa hayo makabila

Lkn utetezi wake unaonesha yeye ni wakabila hilo aliloanza nalo

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upite.[emoji3061]
Hata hivyo ni kweli kabisa anachosema,
 
Yupo jamaa anaitwa Ignas pale Geita ni ni tajiri wa kutupwa. Eti wakurya ! Mkurya gani tajiri hapo Mwanza ?
 
Eti maendeleo changamoto aliko msukuma, wewe hujui kitu gani. Hujui usukumani kila siku inazaliwa miji midogo kwa sababu Msukuma anachapa kazi. Nenda Katoro, Lamadi, Masumbwe, Lunzewe, Lwamgasa n.k. nenda sasa huko uchaggani au kwa hao wakinga wenu ni wapi kuna miji ya biashara inazaliwa ? Msukuma kila kitu yupo, utajiri yupo, elimu yupo, kilimo yupo, ngoma za kienyeji yupo, ushamba yupo. Chezea sukuma weye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…