Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wapo wengine wana ng'ombe hadi 3,000 Ila wapo kimya tu hawana showoff kabisaTatizo la watanzania wanapenda showoff sana,Lakini wasukuma wameshika sekta kama madini ,ufugaji na kilimo ila kwa vile hawana kelele hutajua kama wanamaendeleo. Mfano utakutana na mtu anagunia 700 za mpunga lakini muonekano ni wakawaida tu.