2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Manula anashindwaje kufokea hizo ng'ombe hapo kwenye backline?

Hapo nyuma Mwamnyeto ni mzigo, Bacca anacheza vizuri sana.
Goal la ujinga wa mabeki mtu kapangua wamezubaa kuclear.
 
Starttimes wanatumia Sisi TU huku no signal au Dunia nzima?
 
Mwamnyeto hapo nyuma ni mzigo kabisa anamkimbia mtu.πŸ™ŒπŸ˜‚
 
Nimetoka kuchek bbc swahili hapa , wamemhoji waziri wa michezo ambaye naye yupo huko, statemwnt ya pili tu kamtaja mama samia na serikali yake,


Wapigwe tu
Chawa kazini 🀠
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…