Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ndo kilichobakiUsilale kuwa mzalendo.
Wamesema haisaidii tuwe wazalendo tuNmechukia mno
Hakuna cha uzalendo hapaWamesema haisaidii tuwe wazalendo tu
Aamin watufanyie wonders jamaniNgoja tuone kipindi cha pili kocha atakuja na mbinu gani?
Ila kuna nini?😡Hakuna cha uzalendo hapa
Goal la ujinga wa mabeki mtu kapangua wamezubaa kuclear.Manula anashindwaje kufokea hizo ng'ombe hapo kwenye backline?
Hapo nyuma Mwamnyeto ni mzigo, Bacca anacheza vizuri sana.
Nimetoka kuchek bbc swahili hapa , wamemhoji waziri wa michezo ambaye naye yupo huko, statemwnt ya pili tu kamtaja mama samia na serikali yake,Ila kuna nini?😡
Yani kipa anapangua ila wanaokuwa wakwanza kuufikia mpira ni maadai (tena watatu kabsa), ni ujinga kabisa.Goal la ujinga wa mabeki mtu kapangua wamezubaa kuclear.
Wakiacha uchawa na siasa sisi tutakuwa wazalendoWamesema haisaidii tuwe wazalendo tu
Chawa kazini 🤠Nimetoka kuchek bbc swahili hapa , wamemhoji waziri wa michezo ambaye naye yupo huko, statemwnt ya pili tu kamtaja mama samia na serikali yake,
Wapigwe tu
Signal zinazingua zingua sanaStarttimes wanatumia Sisi TU huku no signal au Dunia nzima?
Yani hovyo hovyo tu! ndio timu ya taifa letu sa tutafanyeje sasa😟Mwamnyeto hapo nyuma ni mzigo kabisa anamkimbia mtu.🙌😂