2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Tanzania tujenge viwanja vizuri na tukuze madogo...tuache kubahatisha bahatisha mambo
hadi pitso katusema asee tunawachezaji wengi sana wanacheza Ndani kuna makosa wanafanya ni Ngumu sana mchezaji anayecheza ulaya ukakuta ayafanya ila kashauri tuna nafasi yakujifunza mda bado tunao
 
Sasa kosa la manula lipo wapi usimba na uyanga ongeza siasa unaua Stars
mim ni shabiki wa simba hamna kipa mle mzee kitu kama kibovu tuseme ukweli kuna shida gani akadaka Beno mtu ambaye yupo fit kwa kiwango kikubwa na ambaye alidaka kwenye mechi karibu zote za kufuzu.mtu Katoka kwenye injury ya mda mrefu kacheza mechi mbili tu moja kwa moja tunampeleka kwenye Africon
 
Kosa liko wapi kwa beki au kipa magoli ya hivyo afcon yamefika manne uzembe wa beki aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…