Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,081
Well deserved
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi ni kubwaView attachment 2874866
Sawa boss. Tatu bila tatu bilaa tatu bilaaaa[emoji445][emoji444][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji42][emoji42][emoji42][emoji99][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99] [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji99][emoji99][emoji99][emoji99][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
hadi pitso katusema asee tunawachezaji wengi sana wanacheza Ndani kuna makosa wanafanya ni Ngumu sana mchezaji anayecheza ulaya ukakuta ayafanya ila kashauri tuna nafasi yakujifunza mda bado tunaoTanzania tujenge viwanja vizuri na tukuze madogo...tuache kubahatisha bahatisha mambo
Sasa kosa la manula lipo wapi usimba na uyanga ongeza siasa unaua StarsNa hilo shati manura kazi ipo
ndio timu yenye performance mbaya zaidi so far kwenye mashindanoStars amekosa shot on target walau hata mojaView attachment 2874844
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu waliwatoa ureno na Hispania ww ni nani.[emoji23][emoji119][emoji119] Ngoma ya watoto haikeshi.
mim ni shabiki wa simba hamna kipa mle mzee kitu kama kibovu tuseme ukweli kuna shida gani akadaka Beno mtu ambaye yupo fit kwa kiwango kikubwa na ambaye alidaka kwenye mechi karibu zote za kufuzu.mtu Katoka kwenye injury ya mda mrefu kacheza mechi mbili tu moja kwa moja tunampeleka kwenye AfriconSasa kosa la manula lipo wapi usimba na uyanga ongeza siasa unaua Stars
Timu inasiasa nyingi...imekuwa sehem ya watu kupata kura..hadi pitso katusema asee tunawachezaji wengi sana wanacheza Ndani kuna makosa wanafanya ni Ngumu sana mchezaji anayecheza ulaya ukakuta ayafanya ila kashauri tuna nafasi yakujifunza mda bado tunao
Kosa liko wapi kwa beki au kipa magoli ya hivyo afcon yamefika manne uzembe wa beki aiseemim ni shabiki wa simba hamna kipa mle mzee kitu kama kibovu tuseme ukweli kuna shida gani akadaka Beno mtu ambaye yupo fit kwa kiwango kikubwa na ambaye alidaka kwenye mechi karibu zote za kufuzu.mtu Katoka kwenye injury ya mda mrefu kacheza mechi mbili tu moja kwa moja tunampeleka kwenye Africon
Nadhan wao ndo wali copy kwetu.Inakuaje nyimbo za taifa za tanzania,zambia na south africa zinashabiana!?