Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hii game congo tunapoteza sana nafasi za wazi😭😭Game tamuu hii, yaan unafaidii kutazamaa sijutii kuwa fan wa football hakika inanipa hamasa mnoo.
[emoji460]
HajashikaHakuna tuta hapo. Refa kachemka
Imeleta majanga
ExactlyFair decision, haikuwa penalty ile kwa Zambia kabisa 👏👏
😁🤣sijawaelewa yaan chama ..musonda mpaka sasa kimua kocha usitutanie