2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

ukisikiliza watangazaji hutokaa uulizee mbnaa sijamwona mayele walaa msonda wala chama

yaan wanaoingia n balaa bora asiwataje ligizao na nchi zao

nimejitmridhisha na makocha kuwaweka bench kabisa

wish them all d best
 
Hii game kuisha draw maana yake ni kwamba..

Kila mtu kundi hili lzm atuone sisi ndo wakuchukulia point zote 3 rahis kbs.

Na ukweli ni kwamba kwa wanavochez DRC na hawa Zambia kweli sisi ndo wakuchukulia point zote 3 na kututwisha mzigo wa magoal ya kutosha.
 
wazee wa khbet angalien salio
Ht x
FT x
Kalensupuu kwahisani ya kelvin kapumbu wa zambia
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_005653_Chrome.jpg
    Screenshot_20240118_005653_Chrome.jpg
    63.7 KB · Views: 4
Uchambuzi wangu kwa Taifa stars

1. Samata soka limeanza kushuka nafikiri umri nao unachangia

2. Himid mao, huyu jamaa Pasi anapoteza tu na wala hajali, anakaba hovyo na kusababisha faulo za ovyo katka maeneo yasiyo na hatari yoyote mpka anapata kadi.....

Ni mzito sana soka la sasaivi linahitaji vijana wenye mbio, kwa staili yake ya uchezaji hata Timu ya wanawake ya Hispania hapati namba.

3. Manula nafikiri kukaa nje muda mrefu imeshusha sana kiwango chake ingekuwa busara ajinoe kwanza vizuri lasivyo Mzimu wa Goli tano siku moja utamludia tena.

4. Mwamnyeto, huyu beki ni vile tu Taifa stars hatuna kikosi kipana ila hapaswi hata kuwa mchezaji wa reserve maan ni mzito mno na hana maamuzi ya haraka hajui kujiposition timu ikiwa haina mpira....

Huwa Akikutana na straika wasumbufu anakuwa kama mtu aliyeweuka asiyejua afanye nini mwshoni huishia kupitwa au kukata hovyo.

5. Mohamed hussein (Tshabalala), kwa huyu sina maelezo mengi ila Huyu mtu hapaswi kuwa Mchezaji mpira.

6. Bacca, huyu ni beki mzuri sana ila huwa anakosa sapoti hivyo inamlazimu kuingilia namba za wenzake ili kuclear makosa yao(Tshabalala na mwamnyeto) hivyo kupelekea nafasi yake muda mwingine kubaki wazi na kupelekea Goli.

7. Haji mnoga, huyu jamaa ni full back Tapeli namuita Full back tapeli maana hata Kupunguza mtu mmoja tu kasheshe anaishia kujigonga gonga na kutoa pasi za nyuma.

8. MSUVA, huyu saizi yeye ndo alitakiwa awe kocha wa Taifa stars, kama kuna ndugu yake humu amshauri tu.

9.Kocha, kiukweli tu kocha hana mbinu wala ubunifu wowote katika mshindano ya mechi tatu wew unaenda kupaki basi ? Ameacha nje vijana ameweka wazee wakina Himid mao, kaweka watu wavivu yule mzungu hajui hata kujiposition.

Mwisho, Taifa stars wiki ijayo inarejea Tanzania.... Ni wakati sasa wa kuanzisha academy na kutengeneza kikosi chenye ushindani... Sio kikosi hichi ambacho watu wana umri mkubwa karbia wamfikie kocha wao,

kwa haraka haraka tu ukimtazama Mtu kama Himid mao ni aibu kwake kusakata soka mpka saivi....yule na Msuva saivi ndo walifaa wawe wanashindana kuhonga huko TFF mahela ili kupata kazi ya Kuifundisha Taifa stars.

Sitanii ndugu zangu hebu fikirieni wew ni mgeni na Umekutana na Taifa stars(huku kocha akiwa katoka mara moja) kati ya Timu nzima ile hivi kwa haraka harak tu si utadhania Himid mao ndo kocha wao. Ila kituko ni kwamba huyu ni First eleven player,

Hii ni aibu.
 
Sawa Bbboss 🚶🏻‍♀️. Tatu bila tatu bilaa tatu bilaaaa🎶🎵🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😴😴😴💤💤😴💤😴💤😴💤😴💤 😴😴😴😴😴😴😴😴😴💤💤💤💤😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Hata tufungwe 30 go team Tanzania...
 
Back
Top Bottom