2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hapa tuchague..
1: tupeleke madogo nje wakale kitabu
2: tulete wataalam waje wachague madogo, wawapige kitabu
Tofauti na hapo, tunajidanganya tu
 
Njia moja wapo ya kuboresha ligi yetu ni kuleta VAR mfano hapa naangalia mechi ya GUINE kidogo watu wapewe ushindi feki na kadi ya njano feki maana yake mshindi angekuwa feki ndicho kinachotokeaga hapa bongo mfano mfungaji bora feki ndugu saido
Kadi ya njano imefutwa?
 
Mpira siyo kitabu
Mpira ni kipaji + bidii
Hapo ndio tunapojidanganya. Mpira ni kitabu bwana ila sie tunachukulia ile literally kitabu. Kitabu kwa maana its about decision making na uelewa na fundamental tactics involved.
Sie wee ona ata interviews zetu za wachezaji...utasika tunamshukuru mungu tumemaliza mchezo salama, ila leo mungu amepanga wapimzani washinde🤣🤣🤣🤣 wat a load of bollocks
 
Mr. Hat trick
IMG_9451.jpeg
 
guinea ya ikweta ikishinda kuanzia 5-1 leo atakuwa ananafasi kubwa ya kwenda next round hata kama best loser, matokeo haya mpaka sasa yanaufanya mchezo ivory coast na nigeria kuwa mgumu sana!
 
Back
Top Bottom