2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Jamaa ni hatari sana. Pale nilivyoona anaenda kupiga nilihesabu goli. Maana jamaa huwa shooting accuracy yake ni kubwa sana.
Aliwachapa Man U the same kabisa na hii. Japo hii ni balaa zaidi maana alikabwa na kaachia mkwaju wa maana.
Remember the name
IMG_9461.jpeg
 
Back
Top Bottom