Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Anataka kurudi liverHuyu Salah anadeka sana
Hapana. Itategemea na matokeo ya Cape Verde na Mozambique.Misri akifungwa ndio baba jeni hivyo
Game ya kwanza alitoa sare, Ghana alifungwa so nafasi bado atakuwa nayoMisri akifungwa ndio baba jeni hivyo
Kwa nini asideke wakati wanalipwa mkwanja mrefu huko UK?Huyu Salah anadeka sana
Kwangu mimi hizi ndio timu bora za muda wote kwa upande wa national team kwa africa
Nigeria
Cameroon
Egypt
Ghana
Kwa nini asideke wakati wanalipwa mkwanja mrefu huko UK?
Watu wafupi tunanangwa Sana...si mtunyonge tu!!!😭😭😭salah amesusa tu hakuna la maana,watu wafupi wanashida kweli
Remember the nameJamaa ni hatari sana. Pale nilivyoona anaenda kupiga nilihesabu goli. Maana jamaa huwa shooting accuracy yake ni kubwa sana.
Aliwachapa Man U the same kabisa na hii. Japo hii ni balaa zaidi maana alikabwa na kaachia mkwaju wa maana.
🤠🤠🤠🤠salah amesusa tu hakuna la maana,watu wafupi wanashida kweli
KudusRemember the nameView attachment 2875926