Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Karia wetu hakuonyeshwa, Etoo anaonyeshwa mara nyingiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mozambique wamekuwa washamba sanaMkuu pole mkeka umeanza kuchana mapema
Ubaya wa aya mambo unaweza zungumza kama umelewa mnanasi... Lkn ikifika sehem wakikwambia leta tangible evidence kusupport unayosema ndo inakua kipengele.KOCHA WA [emoji1241] AMEKULA BAN KUTOKANA NA KAULI ZAKE TATA HIV SASA CCM STAR HAINA KOCHA
Me hapa naongeza na Namibia.Kati ya Cape Verde au Equatorial Guinea inaweza kufanya Maajabu Afcon 2024
Tuone kama wataweza kulinda hili goli kwa kipindi cha PiliTeam Senegal unakika leo tunafuzu 16 bora kwa kishindo [emoji91][emoji91][emoji91]
Majuzi hapa niliwaambia watu.Niliwahi kuongea kwenye hii platform siku moja kua Etoo anamuonea aibu mshikaji wake Song. Cameroon hawana timu pamoja na kocha. Sijawahi ona potential ya Rigobert Song kwenye ukocha. Namkubali kama beki kisiki legend lakini kwenye ukocha hapana, ameacha mbali sana na Aliou Cise wa Senegal. Bado tunawahitaji makocha wa kizungu kwenye timu zetu za taifa. Hawa Cameroon wanaruka ruka tu
Cameroon hawana timu ya kuchukua AFCON ijayo
Naangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia kwa kushtukiza kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Caleb. Kama Cameroon ataenda hivi AFCON ijayo sidhani kama watavuka hatua ya...www.jamiiforums.com
Nafasi 4 za best losersUzuri haya mashindano kuna Nafasi 3 za best looser Kwahiyo Egypt wakikaza matako vizuri wanaweza kupita.
Hta sijaelewa unachosema, mm nimesikia watangazaji mpira wa sasahv wakisema hivyo.Ubaya wa aya mambo unaweza zungumza kama umelewa mnanasi... Lkn ikifika sehem wakikwambia leta tangible evidence kusupport unayosema ndo inakua kipengele.
Ngj apumzke hata ivo safar yetu ishaisha.
Hata mkiroga hamtoboiCameroon itabidi tujipange kipindi cha pili Aisee..
Karia labda aonyeshwe kwenye Coastal Union TvKaria wetu hakuonyeshwa, Etoo anaonyeshwa mara nyingiiii
Kwa ufup kala chuma kushoto yan Tff na kulia yan Caf wote wamempa chuma cha uso.Hta sijaelewa unachosema, mm nimesikia watangazaji mpira wa sasahv wakisema hivyo.
Ndio mzee mpira umebadilika sana...Hii AFCON ya miaka hii ikoje?! Watu wanacheza kama wako mazoezini. Wachezaji hawakimbii, hakuna pressing. Hii Cameroon ilikua na kina Pius Ndiefi, Solomon Olembe, Etoo mwenyewe, Geremi Njitap, Patrick Mboma walikua wanaserereka hatari kama viberenge na jezi zao puma waliwatengenezea za kihuni huwezi kumvuta mtu jezi maana zilikua kama sidiria. Leo hii Cameroon anacheza unaangalia uwanjani unajua wachezaji wawili tu Onana na Zombo Anguisa daaah maisha yanaenda kasi sana, kila msimu wa mashindano sura mpya, kipindi kile wachezaji walikua wanabaki kwenye viwango vyao hata miaka 8. Season 4 za AFCON wachezaji adi unawakariri maana % kubwa ni wale wale. Kule Ivory nakumbuka Arouna Dindane, Arouna Kone, Bakari Kone (KONE B), Didier Zokora. Sijaongelea Ghana, Nigeria na Senegal. Anyways siku zimekimbia sana, zama mpya na kizazi kipya
Sasa hapo shida ni afcon au timu acha kukaliliHii AFCON ya miaka hii ikoje?! Watu wanacheza kama wako mazoezini. Wachezaji hawakimbii, hakuna pressing. Hii Cameroon ilikua na kina Pius Ndiefi, Solomon Olembe, Etoo mwenyewe, Geremi Njitap, Patrick Mboma walikua wanaserereka hatari kama viberenge na jezi zao puma waliwatengenezea za kihuni huwezi kumvuta mtu jezi maana zilikua kama sidiria. Leo hii Cameroon anacheza unaangalia uwanjani unajua wachezaji wawili tu Onana na Zombo Anguisa daaah maisha yanaenda kasi sana, kila msimu wa mashindano sura mpya, kipindi kile wachezaji walikua wanabaki kwenye viwango vyao hata miaka 8. Season 4 za AFCON wachezaji adi unawakariri maana % kubwa ni wale wale. Kule Ivory nakumbuka Arouna Dindane, Arouna Kone, Bakari Kone (KONE B), Didier Zokora. Sijaongelea Ghana, Nigeria na Senegal. Anyways siku zimekimbia sana, zama mpya na kizazi kipya