2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Niliwahi kuongea kwenye hii platform siku moja kua Etoo anamuonea aibu mshikaji wake Song. Cameroon hawana timu pamoja na kocha. Sijawahi ona potential ya Rigobert Song kwenye ukocha. Namkubali kama beki kisiki legend lakini kwenye ukocha hapana, ameacha mbali sana na Aliou Cise wa Senegal. Bado tunawahitaji makocha wa kizungu kwenye timu zetu za taifa. Hawa Cameroon wanaruka ruka tu
 
Majuzi hapa niliwaambia watu.

Hii team Eto'o anaendesha kisela sana kwa kujuana.. Ndo maana hata Song kua hapo yan ni usela mwng kua mwana namjua alikua mwanang.

Ndo maana onana anafany anavotaka anajua wazi kbs Eto'o kwa kua ni mwanae na kamlea academy yake lzm afanye jambo awepo tu team ya taifa.
 
Ubaya wa aya mambo unaweza zungumza kama umelewa mnanasi... Lkn ikifika sehem wakikwambia leta tangible evidence kusupport unayosema ndo inakua kipengele.

Ngj apumzke hata ivo safar yetu ishaisha.
Hta sijaelewa unachosema, mm nimesikia watangazaji mpira wa sasahv wakisema hivyo.
 
Hii AFCON ya miaka hii ikoje?! Watu wanacheza kama wako mazoezini. Wachezaji hawakimbii, hakuna pressing. Hii Cameroon ilikua na kina Pius Ndiefi, Solomon Olembe, Etoo mwenyewe, Geremi Njitap, Patrick Mboma walikua wanaserereka hatari kama viberenge na jezi zao puma waliwatengenezea za kihuni huwezi kumvuta mtu jezi maana zilikua kama sidiria. Leo hii Cameroon anacheza unaangalia uwanjani unajua wachezaji wawili tu Onana na Zombo Anguisa daaah maisha yanaenda kasi sana, kila msimu wa mashindano sura mpya, kipindi kile wachezaji walikua wanabaki kwenye viwango vyao hata miaka 8. Season 4 za AFCON wachezaji adi unawakariri maana % kubwa ni wale wale. Kule Ivory nakumbuka Arouna Dindane, Arouna Kone, Bakari Kone (KONE B), Didier Zokora. Sijaongelea Ghana, Nigeria na Senegal. Anyways siku zimekimbia sana, zama mpya na kizazi kipya
 
Wadau kwanini hizi timu za ngozi nyeusi karibu kila mchezaji anaepokea pasi akiwa kati au mbele mara nyingi lazima atoe back pass kwanza halafu ndio akatafute nafasi nyingine.

Sijaona mchezo huo ukifanywa na Misri na Morocco.
 
Ndio mzee mpira umebadilika sana...
Mpira mipango ukikimbia kimbia utachoka bure na utakandwa nyingi
 
Sasa hapo shida ni afcon au timu acha kukalili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…