Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Bukina faso wameanza kujilizaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watapigwa cha 2Bukina faso wameanza kujilizaliza
Watapigwa cha 2
Hakuna anayebebwa, magoli yote ni halali kabisaBukinafaso wanabebwa wazi
Kapata ?Mkwajuuu 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Kabisa naona ana goli lake Leo akiingiaSafi sanaaaaa 👏🏽👏🏽
Ki aingie sasa jamani
Eendiwoo imeingiaaa🤸Kapata ?
Waya. Algeria 1-2 BurkinabeKapata ?
Safi sana pigaaaa waarabu haooooEendiwoo imeingiaaa🤸
Safi sanaWaya. Algeria 1-2 Burkinabe
Duh wewe jamaa hata aibu huoni? Hiyo offside ulionea wapi wakati hadi VAR ikatumika na ikachorwa mstari na ikaonekana hakukuwa na offside.Wanatafuta penati hao
Hata lile goli lilikua offside kabisa