Algeria wafungwe tuHata wakifungwa haiondoi kuwa wao ni bora, na makombe wanayo
Kila la heri kwao
Algeria wafungwe tu
Algeria wanashambulia, bukina wanafujo sanaHuyu refa nae kaongeza dk nyingi mno
Algeria, Egypt ni wa kushangilia Droo kweli..., hawa waarabu sijui boli lao wamelipeleka wapi
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda, wamekuzidi kila kitu ila wewe umewazidi roho ya kichawi tu.Maarabu yafungwe tu.
Nafurahi kuona timu za kiarabu zinafungwa
Dakika huwa zinaongezwa kuanzia 7 hadi 9 ili kufidia ule muda wa Cooling, Joto la Code D'voir ni kali sanaHuyu refa nae kaongeza dk nyingi mno
Full Time.Dakika ya ngapi huko
Bin TaabaniWaarabu wamepata point 1 lakini wako hoi
Safari hii hakuna timu mchekea, lazima wakubwa wapambane la sivyo wanakufaAlgeria, Egypt ni wa kushangilia Droo kweli..., hawa waarabu sijui boli lao wamelipeleka wapi