2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Haya wewe mwana uto ulimuona huyo mchezaji wako kwenye Sub zote 4 walizofanya Burkinabe?
Tukikwambia hii game sio sawa na kucheza dhidi ya Mauritania unasema tuna husda
Zille 5 zilikuvuruga akili na zikakuvua ubingwa sishangai sana ndo maana unakaa Tanga we endelea kuvuliwa ubingwa tu na bado utaendelea kuwa na husda mpaka ukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…