BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Anakomaa tu na Mauritania ni warefu sana, anarudia kila sekunde kadhaa naona hajui kabisa maumbo ya West AfricansHuyu mtangazaji wa kike wa mpira TBC hana swagger/ mbwembwe hanoneshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakomaa tu na Mauritania ni warefu sana, anarudia kila sekunde kadhaa naona hajui kabisa maumbo ya West AfricansHuyu mtangazaji wa kike wa mpira TBC hana swagger/ mbwembwe hanoneshi
Yule nae ni kama hua ana shoboka na waarabu, anawasifia sana kuliko kawaidaSubiri uwenda saa 5 akawa yeye.
Na hawa watoto wanapiga kweli kweli wanakua kama steven gerrardHivi hii footwork ya Mauritania tunayo hata robo kweli? Hawa jamaa wameupiga wa kutosha kabisa.
Hata maneno ya yenyewe hadi afikirie sanaa kitu ambacho hawezi kwenda sambamba na kasi ya mechi wakati wenzie sekunde moja maneno ishirinakituAnakomaa tu na Mauritania ni warefu sana, anarudia kila sekunde kadhaa naona hajui kabisa maumbo ya West Africans
Yule nae ni kama hua ana shoboka na waarabu, anawasifia sana kuliko kawaida
TBC apana kwa kweli mim wanisame tuHata maneno ya yenyewe hadi afikirie sanaa kitu ambacho hawezi kwenda sambamba na kasi ya mechi wakati wenzie sekunde moja maneno ishirinakitu
Hataaar sana nilikuwa nawachukulia poa ila dah! Wameupiga mpira.Hivi hii footwork ya Mauritania tunayo hata robo kweli? Hawa jamaa wameupiga wa kutosha kabisa.
Hajui chochote kelele sijui ni mwl wa historiaMnaumtaka Nazareth Utepe sio
Startime zle za Kiingereza waliobaki wababishají[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona kila mtangazaji mnampopoa sasa,njoo Azam umsikilize Gharib Mzinga na Ayu Hinjo
Hajui commentary kazi kueleza hisitoria na uchawa mwingiYule nae ni kama hua ana shoboka na waarabu, anawasifia sana kuliko kawaida
Mie zile mbwembwe za watangazaji waliochangamka kama Nazareth ndio zinanikoshaga sana Huku DSTV nadhani chaneli ya AFCON ya Kiswahilii ni TBC tu kwingine kote ung'eng'eu na ng'eng'e haunaga mbambambaa KabisaTBC apana kwa kweli mim wanisame tu
Akiwaangalia wachezaji wa Algeria wengi wameenda age, uchezaji wao unaonekana, lakini ni wepesi kuliko wachezaji wa Tz ambao wote Wana umri chini ya miaka 28
Algeria wafungwe tu
TV E nayo naona watumia kiswahili ila hiyo quality yao ni. bora ubaki 222Mie zile mbwembwe za watangazaji waliochangamka kama Nazareth ndio zinanikoshaga sana Huku DSTV nadhani chaneli ya AFCON ya Kiswahilii ni TBC tu kwingine kote ung'eng'eu na ng'eng'e haunaga mbambambaa Kabisa
Wamezawazisha hawa Waarabu.
So sad kwa
unakaa Tegeta nyuki au maana huko nguzo zimesombwa na maji watu wanajiokotea tu transformaUmeme umerudi sasa, tufaidi game ya Mali