Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Wamezawazisha hawa Waarabu.
So sad kwa
Unampa nani?Umeme umerudi sasa, tufaidi game ya Mali
TV E ni chaneli namba ngapi kwa DSTV??? Yeah 222 iko vyedi sanaTV E nayo naona watumia kiswahili ila hiyo quality yao ni. bora ubaki 222
295TV E ni chaneli namba ngapi kwa DSTV??? Yeah 222 iko vyedi sana
Nimeweka Santo sana mkuu sema quality sasa kama ya TBC!
MaliUnampa nani?
wanazingua awo na wachumbuzi wao kina jef washezi kweliNimeweka Santo sana mkuu sema quality sasa kama ya TBC!
Mmmh ngoja nichungulie tena kwenye chunguMali
Usisahau kutupa jibuMmmh ngoja nichungulie tena kwenye chungu
Point 3 za kwetuKam kauwaaa kam dauwaaaa
Mali Pia ✌️🙇
mpira aliyepigiwa manula juzi ni pigo from holland makipa wengi hawezi kudaka mizinga kama ile kamulize martinez wa argentina mipira kama ile ilivyomtesaManula anaangalia hii mechi? Achukue notes jinsi ya kupangua mipira.
Wapi niliposema kudaka?mpira aliyepigiwa manula juzi ni pigo from holland makipa wengi hawezi kudaka mizinga kama ile kamulize martinez wa argentina mipira kama ile ilivyomtesa