United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Game imeisha hii Tunisia hachomoii ngongoooo watachezewa nguvu mwanzo mwishoMali inawatu
kwanin hujui kupangua ni sehemu ya kudakaWapi niliposema kudaka?
Game imeisha hii Tunisia hachomoii ngongoooo watachezewa nguvu mwanzo mwisho
Mali ana hasira na jamaa kuwaziua kwenda word cupHawa Mali [emoji1159] wako vizuri
wew ni mganga kwaniJAMANI KILA NIKITAZAMA KWENYE CHUNGU NAONA MASIZI TU SISEMI KITU KWANZA
Mimi ni muonaji si mganga🤣wew ni mganga kwani
jamaa wapo vizuri na wanajituma sana ipo siku watafanya kituMali hata mashindano yaliyopita alifanya vizuri
Wanakosa bahati ya kubeba ubingwa tu
Ukiangalia wachezaji wote wana quality kuanzia mguuni na phisical
kashatunguliwa hukoDiarra amezaliwa Afrika, De gea amezaliwa Ulaya.
Footwork, sweeper
ili nalo nisharti tuScreen protector wa Uto
sharti hilo unalita midaka mishala limeshawafungisha MaliTunarudisha hili. In fact tumepoteana, yale mashambulizi mfululizo yalikuwa hatari.
Hesabu zilikataa kwa mdaka mishale wetu, sio mbaya.