π bado najiuliza hivi Tanzania tulifuzu vp kicheza haya mashindano
Uchochoro wao.DRC wanashukuru droo kwa sababu wanatutegemea sisi
Kocha Wa Morocco kaleta racism hapaKocha wa Morocco na Mbemba wanabishana sana hapa
Nyinyi tutawapiga nyingi sanaUchochoro wao.
Ila tunaweza kuwashangaza
Hawa jamaa hawana timu hawaHaya mashindano yana mechi kali. Hawa ndiyo Morocco wanaoogopwa duniani?!
Timu wanayo.Hawa jamaa hawana timu hawa
π€£π€£π€£ watu ba kongo mna maneno sanaNyinyi tutawapiga nyingi sana
Tutawashangaza sanaMi nipo Zambia. Sisi wanyiha na wazambia ni ndugu.
Congo watafuzu round 16 kwa kuichapa StarsStars kuna uwezekano wa kurudi na pointless.
Hawa Congo wanajitafuta kwenda round ya 16, lazima wapitie kwenye mechi baina ya Stars
Mmeona Morocco nusu nimpigeπ€£π€£π€£ watu ba kongo mna maneno sana
Congo wana mpira mkaliYaani leo tusiposhinda basi. Hawa Congo bora Morocco.