Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu bado mna matumaini kweli?Taifa Stars, Mambo yetu yanazidi kuwa magumu sana
I ain't even gonna waste my time on you coz soon you gonna start foaming at the mouth while speaking in tongues like a possessed wayward silverback gorilla.Nimeshamaliza na wewe. Nakushauri upunguze shobo
Yapo!Hivi mkuu bado mna matumaini kweli?
Usimba na Uyanga unaanza hapaI ain't even gonna waste my time on you coz soon you gonna start foaming at the mouth while speaking in tongues like a possessed wayward silverback gorilla.
😂🤣😁Hivi mkuu bado mna matumaini kweli?
Heee, si ndio aanze ili tusifungwe?Bakambu ni mzigo hafai kuanza mechi ijayo dhidi ya Tanzania
Inaisha droo hii 😄
Kundi litakuwa gumu sanaKwa mpira huu na matokeo yakibaki hivi, DRC watatukamia na kutuaibisha
Heee, si ndio aanze ili tusifungwe?
Ngoja tuone🤣🤣Inaisha droo hii 😄
Bibie hata Kama timu yetu ya taifa ni mbovu, Ila sio kwa hilo dongo.Tanzania watapigwa mechi zote 3,vile wacongo wanacheza lazima waje kupatia point 3 Tanzania
Huu ndio ukweli🤣Kwa mpira huu na matokeo yakibaki hivi, DRC watatukamia na kutuaibisha