King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Piga hao Morocco na kitu inaitwa mokonzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone inakuwaje paleKabisa Hawa kazi wanayo
Si mchezoRefa anawabeba
KabisaNgoja tuone inakuwaje pale
Nimeshamaliza na wewe. Nakushauri upunguze shoboSi umeona sasa ulivyo ni sahishi Kabisa nilivyokuita ndo maana roho imekuuuma na utabakia kuwa na husda kama vibinti vya buguruni
Ahah dahSi umeona sasa ulivyo ni sahishi Kabisa nilivyokuita ndo maana roho imekuuuma na utabakia kuwa na husda kama vibinti vya buguruni
Naunga mkono hojaStars kuna uwezekano wa kurudi na pointless.
Hawa Congo wanajitafuta kwenda round ya 16, lazima wapitie kwenye mechi baina ya Stars
Kwanza wanaanza Zambia kutupiga za kutosha.Stars kuna uwezekano wa kurudi na pointless.
Hawa Congo wanajitafuta kwenda round ya 16, lazima wapitie kwenye mechi baina ya Stars
Uhai mkubwa sana.Hizi sub za DRC ni makini sanaMayele anastahili kuanza, tangu aingie Congo wana uhai pale mbele.
Yaani leo tusiposhinda basi. Hawa Congo bora Morocco.Stars kuna uwezekano wa kurudi na pointless.
Hawa Congo wanajitafuta kwenda round ya 16, lazima wapitie kwenye mechi baina ya Stars
Sana,Uhai mkubwa sana.Hizi sub za DRC ni makini sana