Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Duuuuh, ndio maana. Maana mpuuzi anakimbiza kinoma.Lameck Banda anaongoza kuwasumbua walinzi kwa dribbling huko Serie A Italia. Ameanza kumsumbua Haji Mnoga , sasa hivi kaswitch upande wa Tshabalala.
uwa naona raha sana mechi iwe Ngumu afu refa achanganyikiwe humu ndani kungekua na warabu uyu refa angeliona joto la jiwe warabu ni wahuni kweli kweliRefa kasimika mfyuuu
Anacheza ligi daraja la tano UingerezaHuyu beki Mnoga hamna kitu naona ni uchochoro sana
Lusajo Mwaikendadogo wa Azam kaingia Ndani
Kwannila patson daka mademu wakizungu wamemaliza miguu yake kabisa
NakaziaMtu mmoja siyo mwingi. Game mbichi hii.
anakosa sana mipiraKwann