Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Duuuuh, ndio maana. Maana mpuuzi anakimbiza kinoma.Lameck Banda anaongoza kuwasumbua walinzi kwa dribbling huko Serie A Italia. Ameanza kumsumbua Haji Mnoga , sasa hivi kaswitch upande wa Tshabalala.