Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ha ha ha ha wamezifuta shwaaaaaaKama nawaona akina Nape, Mwana FA, Gerson Msigwa na wengineo wanavyofuta meseji za kumpongeza mama kwa ushindi
Wachezaji STARS walishindwa kujua kubwa bado hawajashinda, ..walikuwa na nafasi za kumalizia game...Walianza kucheza kitoto kurudisha mpira nyuma..Ki vipi mkuu?
Michezo ipo mingi kama rede, kukimbia na magunia, kula umbakishie baba, kukimbiza kuku, kukimbiza mwenge, bao n.k mna ng'ang'ania mpira tu
Hatari sana, ni kama kichwa cha mwendawazimu, ovyo ovyo tu.Na hatutabadilika. Hii nchi tunafanyiwa ufisadi hadi na wachezaji daah
Wachezaji STARS walishindwa kujua kubwa bado hawajashinda, ..walikuwa na nafasi za kumalizia game...Walianza kucheza kitoto kurudisha mpira nyuma..
Walishindwa kujua wako advantage ya mchazaji..
Angalia kosa alilofanya MWAMNYETO kabla ya saving ya MANULA...
Kwa kifupi palikuwa na utoto mwingi
Oyaaa,wameniudhi sana hawa Leo.🚮🚮🚮Watu had wakaona wapungue ili japo wa balance game na sisi.
Tulivo mafala na sisi tukawa tunacheza kama tuliopungua ni sisi.
Tutapigwa kama mbuzi wa Hitma.Kizimkazi Fc mshatoka, mechi ya mwisho Mcongo atawapakia Mundende
Takatak kbs mkuu[emoji706]Oyaaa,wameniudhi sana hawa Leo.[emoji706][emoji706][emoji706]
Samatta anakokota mpira anataka kudondoka mwenyewe 😄Wachezaji wetu wanakumbwa na msongo wa kudanganya umri wanapiga Cha kizee, michezaji yote imechoka yani
Mwambie Hemmed Moroko Stars washambulie waache tabia ya kurudisha mpira nyuma kwa Manula yaan leo wamerudisha mpira kwa Manula TU baada ya kufanya mashambuliziPoint 3 za kwetu