Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Nakushauri rudi bondeni kwa madiba😂😂 hii vita haiitaji hasira.Hii game Kuna sare😁🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri rudi bondeni kwa madiba😂😂 hii vita haiitaji hasira.Hii game Kuna sare😁🤣
Hapa umeandika nini?Harudi uyo, game ijayo utamuona...
Mkuu Mimi ni mcongoman😁🤣🤣Nakushauri rudi bondeni kwa madiba😂😂 hii vita haiitaji hasira.
Upo wapi sasa mkuu weweNingependa namibia ashinde leo lkn naona bafana bafana atajitutumua
Rudi bondeni kwa mandela nakushauri mapema😂😂Namibia tujuane mapema.
Mim Timu za kipumbavu saizi sizipi sapoti bora zifungwe tuNamibia tujuane mapema.
Upo wapi sasa mkuu wewe
Walimpiga Tunisia. Niliwaheshimu hapo.Mim Timu za kipumbavu saizi sizipi sapoti bora zifungwe tu
Vunjabei wa Namibia kafanya yakeSema hizi rangi za jezi za hizi timu zinachekesha sana
Mbona hana tackleRafiki yangu from DRCView attachment 2879053
Aya ila nikushauri tu utachana mkekaNapenda namibia ashinde
😁🤣🤣🤣🤣🤣 Daaa ila ni fundii sana kitandani huyoMbona hana tackle