2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nchi hii kuna watu wajinga nyie

Kuna watu waliamini Tanzania itsmshinda morocco

Wakapeana tena matumaini ya kumshinda Zambia



Watanzania wajinga kweli kweli
Vijiweni wanaongea mpira muda wote utadhani kuna mpira wa maana

Watakuambia ligi ya Tanzania sijui ya ngapi kwa ubora ila ukivuka hata hapo burundi hakuna anayefuatilia mpira wa Tanzania

Kutwa matv na maredio kuongea simba na yanga

Sometimes weekend unaamua ukae ndani tu au uende beach ukaogelee kwasababu ukienda kwenye ma bar uko ni kelele za simba na yanga (tena kelele za kishamba hivi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…