2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kambaaa cha 4
Stars wangecheza km SA Zambia wangekufa 5 leo mpira mbele sio mpira nyuma huyu mtu wa kupenda nyuma sijui nani yeye ni nyuma tu anapenda nyuma baada apende mbele anapenda kupeleka mipira nyuma back pass wenyewe wanaita tumbafu, daima mbele nyuma mwiko watembee na hio slogan watavuna magoli hii africon sio wanapenda kubakia nyuma tu
 
Watu wanawaona Namibia kama vibonde ila amin usiamin wangekutana na Kizimkazi Fc basi Kizimkazi angepigwa kama ngoma.
DR Congo ataifanya Stars ionekane kibonde itapigwa km Ngoma kwa mipira ya kukimbilia kwa kipa na wameshawasoma subiria balaa
 

Yani sijui nani aliwashauri kucheza mipira ya nyuma ya kijinga vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…