Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa..huyo shaulile mwenyewe hana kitu..anakimbia kimbia kama swalaKumtegemea na kila mtu kutaka kumpa mpira Shaulile kumewacost pia.
Wepesi na wanakasi isipokuwa hawana mafundi tu.Namibia wanapigika ila wanavutia kuwatizama wanavyojituma.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa my
Stars wangecheza km SA Zambia wangekufa 5 leo mpira mbele sio mpira nyuma huyu mtu wa kupenda nyuma sijui nani yeye ni nyuma tu anapenda nyuma baada apende mbele anapenda kupeleka mipira nyuma back pass wenyewe wanaita tumbafu, daima mbele nyuma mwiko watembee na hio slogan watavuna magoli hii africon sio wanapenda kubakia nyuma tuKambaaa cha 4
DR Congo ataifanya Stars ionekane kibonde itapigwa km Ngoma kwa mipira ya kukimbilia kwa kipa na wameshawasoma subiria balaaWatu wanawaona Namibia kama vibonde ila amin usiamin wangekutana na Kizimkazi Fc basi Kizimkazi angepigwa kama ngoma.
DR Congo ataifanya Stars ionekane kibonde itapigwa km Ngoma kwa mipira ya kukimbilia kwa kipa na wameshawasoma subiria balaa
SA ni stars waliochangamka tuUpele umepata mkunaji...na watatamba hao...dstv itakuwa ni highlights zao tu...
Hawa SA ni kama England tu
Stars wangecheza km SA Zambia wangekufa 5 leo mpira mbele sio mpira nyuma huyu mtu wa kupenda nyuma sijui nani yeye ni nyuma tu anapenda nyuma baada apende mbele anapenda kupeleka mipira nyuma back pass wenyewe wanaita tumbafu, daima mbele nyuma mwiko watembee na hio slogan watavuna magoli hii africon sio wanapenda kubakia nyuma tu