We ndio mchawi waoEgypt [emoji1093] wanashinda
Subiri VAR. Usiwe unabet kama huna roho ngumu
Watoke wakalime kakao ili kuongeza uchumi waoHawa ghana watoke tu mana hawajielewi
Goli huonekana mapema sana.We ndio mchawi wao
Hawa watt wanagonga pasi balaa[emoji2]Hawa cape verde wapo kama Barcelona dadeki
😂🤣Tunalitafuta la 3
Willy Semedo (Jersey namba 17) hatari sana.Huyo dogo, Willy Semedo (17 mgongoni) ni fundi sana
Naomuona ulaya soonWilly Semedo (Jersey namba 17) hatari sana.
Hatari sana huyu mtu [emoji119][emoji119][emoji119]
Mbona anacheza ulaya hata hivyo. Omonia Nicosia ya CyprusNaomuona ulaya soon