2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Leo wanacheza wakiwa hawana cha kupoteza hata wafungwe wataongoza kundi bd.

Lkn Farao na ubora unaotaka kuusema mpk ss ni draw tena na mtu ambaye hana shida ya matokeo.

Kama umeangalia game 2 zilizopita za Cape Verde na unafatilia mpr utajua wao kucheza vile sio bahat nasibu wanajua wanfny nn.
Tangu game ya kwanz kwa cape verde nimekuwa nikisema kuwa kiwango chao ni cha kawaida tu sio kama mnavyoisifia apa
 
Tangu tangu game ya kwanz kwa cape verde nimekuwa nikisema kuwa kiwango chao ni cha kawaida tu sio kama mnavyoisifia apa
Mwny kiwango kzr ni nan?

Tuanzie hapo.. Nisije kua nabishana na mtu hata hajui analobishania.

Ww unavoona kwa udogo wa cape verde kusifiwa kua kafuzu ili kundi akiwa anaongoza kwmb ni sifa za bure?
 
Back
Top Bottom