Ndombe Mubele
JF-Expert Member
- May 19, 2019
- 242
- 529
Salah Yuko jukwaani hajaondoka badoKumbe alizuga kuumia ili awakimbie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salah Yuko jukwaani hajaondoka badoKumbe alizuga kuumia ili awakimbie
Hata Gine ya Ikweta ni hivyo hivyoWote tu, ila hawa Cape Verde walikuwa wameishapita kabisa.
Guinea angezubaa angefungwa leo angetolewa. Hawa Verde wameingia mechi ya leo wakiwa wameishapita.Hata Gine ya Ikweta ni hivyo hivyo
Sawa mkuuGuinea angezubaa angefungwa leo angetolewa. Hawa Verde wameingia mechi ya leo wakiwa wameishapita.
Utakuwa ume betNimefurahi mno egypt wamerudisha goli
1-1
Tunalitafuta goli la pili
Mechi haina umuhimo kiivyo kwao.Cape verde ni wa kawaida tu wala hawana uzur wa ivooo
Wameshafuzu na point 6.Cape verde ni wa kawaida tu wala hawana uzur wa ivooo
Trezguet anasawazisha hapa Kwa Assist safi ya Ahmed HegaziCape Verde 1_1 Egypt
Mechi haina umuhimo kiivyo kwao.
Aende wapi?I wish egypt apite aise