Tena nafasi ya 2.ila mafarao japo wame sare lakini wamepita
Akikutana na Senegal anakufa.Tena nafasi ya 2.
Ila Mafarao baada ya kupita hapo atakayekutana nae kazi anayo.
Mi naona watoto wote wa cape Verde Ni hatari Sana[emoji4]Willy Semedo (Jersey namba 17) hatari sana.
Hatari sana huyu mtu [emoji119][emoji119][emoji119]
Sijui anaundugu na Nelson Semedo aliyekuwa RB wa Barca na Ureno?Willy Semedo (Jersey namba 17) hatari sana.
Hatari sana huyu mtu [emoji119][emoji119][emoji119]
Senegal umeenda mbali sana mkuu.Akikutana na Senegal anakufa.
Watu wanapigana kizalendo kama wanapigania uhuruHii ndo AFCON sasa[emoji28][emoji28]
Hamna kitu hawa jamaa. Game zote tatu wamesareTena nafasi ya 2.
Ila Mafarao baada ya kupita hapo atakayekutana nae kazi anayo.
Mwisho wa bao ni 1 la pili unalipata kwa shida la tatu sidhani kama utaweza kulipata
Huyu jamaa ni fundi sana. Hujaona hiyo bicycle aliyoipiga halafu akatandika shuti. Amenikosha sana walah.Mi naona watoto wote wa cape Verde Ni hatar Sana[emoji4]
Umewaona Equatorial GuineaShikamoo Cape Verde. Wao au Senegal wanaweza beba ndoo.
wako vzuriii Sana hao equatorial guinea mkuuUmewaona Equatorial Guinea
Imejua kutukomesha wazee wa Kuangalia mechi na matokeo mfukoni [emoji4]Watu wanapigana kizalendo kama wanapigania uhuru
Hivi vitoto vyote vinapiga vibaiskeli balaa[emoji4]Huyu jamaa ni fundi sana. Hujaona hiyo bicycle aliyoipiga halafu akatandika shuti. Amenikosha sana walah.
Ukiingia kwenye mfumo wao unajutawako vzuriii Sana hao equatorial guinea mkuu