Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #4,421
Maneno yangu yametimia, vijana wa msumbiji ndani ya dakka 6 wameludisha Goli 2, Ghana na msumbiji wote Nyumbani.Hata hawa Ghana na Msumbiji ni suala la muda tu kuna dalili zote wanagawana Mbao.
Mozambique said:Maneno yangu yametimia, vijana wa msumbiji ndani ya dakka 6 wameludisha Goli 2, Ghana na msumbiji wote Nyumbani.
[emoji23][emoji16]wenyeji hawajui mpiraAngalia ball.
Natamani Hili kundi waungie Cote D'Ivoire na Hawa Equatorial Guinea
Naunga mkono hoja [emoji1787]Taifa stars 2027 wataifikia hii rekodi ya mwenyeji
sasa hv saa 8 ya usiku unawaza stars badala ya kulala?Tanzania vs DR Congo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa hv saa 8 ya usiku unawaza stars badala ya kulala?
Hawafiki mbali, tena wakutane na Morocco au Senegal aise watakula nyingi
Ata kama wangewatoa Morocco bado haibadilishi kuwa kiwango chao ni cha kawaida tu
Tangu game ya kwanz kwa cape verde nimekuwa nikisema kuwa kiwango chao ni cha kawaida tu sio kama mnavyoisifia apa
Naunga mkono hojaHao wenye viwango vikubwa mbona hawajaongoza kundi. Mpeni heshima yake.
Ndoto nyevuππ€£πNimeota Tanzania ikiifunga Congo 1- dakika za mwisho kabisa, na Zambia ikifungwa na Morocco 1-0 dakika za mwanzoni tu. Hivyo Tanzania ikaindia robo fainali
hureeeee...Nimeota Tanzania ikiifunga Congo 1- dakika za mwisho kabisa baada ya mchezo mgumu sana, na Zambia ikifungwa na Morocco 1-0 dakika za mwanzoni tu. Hivyo Tanzania ikaingia robo fainali
Aisee hawatoka waisahau hii AFCON.Nafikiri Ni wenge tu la wachezaji.... Si kwa kukosa nafasi zileee...
Kengee
π π π lolNimeota Tanzania ikiifunga Congo 1- dakika za mwisho kabisa baada ya mchezo mgumu sana, na Zambia ikifungwa na Morocco 1-0 dakika za mwanzoni tu. Hivyo Tanzania ikaingia robo fainali