Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Kwani zinatoka timu ngapi? Emu sema ukiachana na walioshika mkia?Bado hujaelewa
Ivory na Guinea-Bissau wameshatoka
Ghana na msumbiji wameshatoka
Subiri hiyo june world cup Qualification CAF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani zinatoka timu ngapi? Emu sema ukiachana na walioshika mkia?Bado hujaelewa
Ivory na Guinea-Bissau wameshatoka
Ghana na msumbiji wameshatoka
Subiri hiyo june world cup Qualification CAF
Wewe ndie huelewi na hutaki kuelewa . Kwa heri.Bado hujaelewa
Ivory na Guinea-Bissau wameshatoka
Ghana na msumbiji wameshatoka
Subiri hiyo june world cup Qualification CAF
Sijui haelewi kama kuna best looser na haelewi kama kuna magroup mengine nafasi ya 3 na 4 kuna timu hazitafikisha points 3.Kwani zinatoka timu ngapi? Emu sema ukiachana na walioshika mkia?
Naunga mkono hojaHao Verde sio kwamba wanacheza kwa moyo tu Bali wanaujua mpira pia, watz siku zote wanacheza kwa moyo ila mpira hatuhujui.
Duh kwa hiyo mwenyeji hajatolewa?Sijui haelewi kama kuna best looser na haelewi kama kuna magroup mengine nafasi ya 3 na 4 kuna timu hazitafikisha points 3.
[emoji1787][emoji23][emoji16]Ivory coast ni tanzania watupu
BadoDuh kwa hiyo mwenyeji hajatolewa?
Kiko wapi sasa....watu 10 watushinde kweli??
PoleeeNaskia baridi my
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyeji kaingia kwenye mfumo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ni Rhumba Vs Singeli
Sijui kama singel atatoboa
Wewe ndie huelewi na hutaki kuelewa . Kwa heri.
Kombe hilo labda lile la wavuta Bangi watupuAnaweza kuchukua kabisa kombe
Mkuu now wanahali mbayaIvory coast kwa mchezo walioucheza jana watavuka kundi ila watatolewa hatua ya 16 bora kama sio Robo fainali, hawafiki hata Nusu fainali hawa,
wana mpira wa Hovyo tu defense mbovu mno katika maombi yao waombe sana hatua za mtoano wasikutane na Timu kama Egypt au hata Congo tu maana watapigwa nyingi sana itakua ni aibu ya kutupa.
Hata wakipita kwa best looser hawa hawana muda wanaaga shindanoMkuu now wanahali mbaya
Mimi mechi za saa tano zimenishinda kabisa...Mozambique matokeo yao ya jana yapoje?
Nilishikwa na usingizi,mechi kuanza saa 5 mbali sana
Angalau hata saa 4 ingeanza.