Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,392
- 1,818
2-2Mozambique matokeo yao ya jana yapoje?
Nilishikwa na usingizi,mechi kuanza saa 5 mbali sana
Angalau hata saa 4 ingeanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2-2Mozambique matokeo yao ya jana yapoje?
Nilishikwa na usingizi,mechi kuanza saa 5 mbali sana
Angalau hata saa 4 ingeanza.
Jana nimeshindwa kabisa kuangalia hata 1st halfMimi mechi za saa tano zimenishinda kabisa...
Siyo Weekend siyo Weekdays.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli saa nne afadhali...Jana nimeshindwa kabisa kuangalia hata 1st half
Nimejikuta nimelala hadi 1st half inaisha sijaambulia chochote[emoji1787]
Nikaona nikalale tu chumbani,ya nini kujitesa.
Kwa kweli saa5 muda mbaya,angalau zingeanza tu saa 4 ileile maana wanachezea viwanja tofauti tofauti.
Unafurahia Nini wakat zamu yake ya kuaga haijafika, unafurahia kwani amefuzu?? Msubiri mkongo mani baadaye ndio utajua ufurahie au ulieMpaka sasa kati ya timu 24, timu 6 zimeshaaga mashindano!
Nafurahi Tanzania bado tumo kwenye mashindano.
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli saa nne afadhali...
Saa tano mimi vimegoma kabisa...hata nikiwa naangalizia mbali na nyumbani mida hiyo nakuwa naboreka sifuatilii[emoji2]
Usiku wa deni haukawiiUnafurahia Nini wakat zamu yake ya kuaga haijafika, unafurahia kwani amefuzu?? Msubiri mkongo mani baadaye ndio utajua ufurahie au ulie
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mechi ya tz hata wakiweka saa8 usiku nitafatilia nione wanavyobomolewa.
Happy new year sister.
Mazoea tu, muda mwingine hata hawa watangazaji wa kiswahili nao nawasikia safari imeishia hapa, japo kua bado wwngine matokeo hayajakamikika tusubiri mpka j5. Sio mbaliSijui haelewi kama kuna best looser na haelewi kama kuna magroup mengine nafasi ya 3 na 4 kuna timu hazitafikisha points 3.
Hivi kuna watu waliamini Manula atamaliza bila kufungwa?Huyu Manula huyu muda wowote atachoma
Mozambique walijitahidi sana kumbe
Walirudisha
Sikutegemea kama msumbiji watakaza kiasi hichoWamewaharibia Ghana😁😁😁😁 aise hawana huruma hawa watu🤣🤣🤣
Sasa magari yamewakosea nini?View attachment 2880660
Ivorians hapa wamezingua hata kama kufungwa ila hii sio sawa
Shida ya uafrika tu hiyo, uharibifu mkubwa sana wamefanyaSasa magari yamewakosea nini?
Ilitakiwa wawakamate mabeki wa timu yao,wawacharaze fimbo hasa za miguu.
Kenge haooo wapigwe kama ivory coast tuTaifa Staaaaaaz hoyeeee....
Nini tena Beshte?[emoji28]Taifa Staaaaaaz hoyeeee....
shangilia gambia,guinea,algeria na angola!Leo sioni nchi ya kuishangilia...